Onyesha silabi inayowekewa shadda kwenye maneno yafuatayo. Karatasi – Shairi – Barabara(njia kuu) Mto –

      

Onyesha silabi inayowekewa shadda kwenye maneno yafuatayo.
Karatasi –
Shairi –
Barabara(njia kuu)
Mto –

  

Answers


Kavungya
Kara’tasi
Sha’iri
Baraba’ra(njia kuu)
‘Mto

Kavungya answered the question on November 21, 2022 at 12:56


Next: Toa neno kwa kila moja ya sauti ambatano zifuatazo. Nyw – Nd – Ngw –
Previous: Taja mambo/dhana nne zinazozingatiwa katika matumizi ya lugha.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions