Eleza maana mbili za neno paa.

      

Eleza maana mbili za neno paa.

  

Answers


Kavungya
Enda angani.
Mnyama wa porini.
Sehemu ya juu inayofunika nyumba.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 06:22


Next: Onyesha kikundi Nomino na Kikundi Tenzi katika sentensi sifuatazo Mwizi aliyetoroka amepatikana mjini Mwanafunzi mwerevu amepita vizuri
Previous: Andika sentensi hizi katika nyakati zilizo kwenye mabano. Wageni walisafiri kwenda ng’ambo. (ujao) Mtoto anakula chakula. (mazoea)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions