Ni nini maana ya lugha?

      

Ni nini maana ya lugha?

  

Answers


Kavungya
Lugha- mfumo wa sauti za nasibu zenye maana na zinazokubaliwa na jamii ya watu Fulani ili zitumike katika mawasiliano.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 06:26


Next: Andika sentensi hizi katika nyakati zilizo kwenye mabano. Wageni walisafiri kwenda ng’ambo. (ujao) Mtoto anakula chakula. (mazoea)
Previous: Use a phrasal verb to replace the underlined words i) The school programme has been altered. ii) I cannot understand what he is saying....

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions