Eleza dhima nne za lugha.

      

Eleza dhima nne za lugha.

  

Answers


Kavungya
-Mawasiliano
-Hutumika kutunza,kukuza na kuendeleza utamaduni wa jamii
-Kitambulisho cha jamii au kabila Fulani
-Ni nyenzo ya kujiendeleza kiuchumi
-Chombo cha kupitisha maarifa/elimu kwa jamii
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 06:37


Next: Explain two different meanings of the following sentence. The chicken is ready to eat.
Previous: A Doll’s House by Henrik IbsenWomen in A Doll’s House challenge society’s perception of the female gender. Write an essay justifying the assertion.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions