Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa tano za hadithi.

      

Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa tano za hadithi.

  

Answers


Kavungya
- Huwa na mianzo maalum-hapo zamani za kale….
- Huwa na miishio maalum- hadithi yangu yaishia hapo.
- Husimuliwa kwa lugha ya natharia
- Hutumia mbinu ya takriri
- Masimulizi huwa ya wakati uliopita
- Huwa na funzo Fulani ambalo hutajwa mwishoni mwa hadithi
- Huwa na wahusika mbalimbali kama vile binadamu,wanyama,ndege,mito,mawe,miungu,wadudu
- Huwa na muundo rahisi wenye mwanzo,kati na mwisho.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 06:50


Next: Memories We Lost and Other stories ED. Chris WanjalaChildren are imprisoned by mental ailments because of superstitious beliefs of those around them. Write an essay...
Previous: Kamilisha au kuanzisha methali zifuatazo: i. Fumbo mfumbie……………… ii. Baniani mbaya …………… iii. …………….si kazi kudamirika iv. ………… Sanda.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions