Kamilisha au kuanzisha methali zifuatazo: i. Fumbo mfumbie……………… ii. Baniani mbaya …………… iii. …………….si kazi kudamirika iv. ………… Sanda.

      

Kamilisha au kuanzisha methali zifuatazo:
i. Fumbo mfumbie………………
ii. Baniani mbaya ……………
iii. …………….si kazi kudamirika
iv. ………… Sanda.

  

Answers


Kavungya
- Fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataling’amua.
- Baniani mbaya kiatu chake dawa.
- Pavumapo palilie si kazi kudamirika.
- Maiti haulizwi sanda.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 06:51


Next: Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa tano za hadithi.
Previous: Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yatakayofuata Leo hii suala la kuwaonyesha watoto mapenzi ni suala la ziada. Kuna mambo mengine mengi maishani mwetu ambayo tunayachukulia kuwa...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions