Ainisha viambishi katika neno lifuatalo. Waliowachezea

      

Ainisha viambishi katika neno lifuatalo.
Waliowachezea

  

Answers


Kavungya
waliowa-viambishi awali
chez- mzizi
ea- viambishi tamati
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:13


Next: Bainisha maneno katika sentensi ifuatayo. Aka! Mwalimu mrefu sana anaandika vizuri.
Previous: Onyesha matumizi mawili ya mkwaju katika sentensi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions