Onyesha matumizi mawili ya mkwaju katika sentensi.

      

Onyesha matumizi mawili ya mkwaju katika sentensi.

  

Answers


Kavungya
i. Kuandika tarehe mf Alizaliwa tarehe 5/6/1998.
ii. kuonyesha kumbukumbu mf KUMB 1/2009
iii. kuonyesha visawe mf Nenda katika shule/skuli.
iv. Kuonyesha au Wanawake/wanaume wataajiriwa
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:14


Next: Ainisha viambishi katika neno lifuatalo. Waliowachezea
Previous: Andika sentensi hii kwa wingi. Msimamo unaofaa ni wa uadilifu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions