i) Zabibu; nomino ya pekee
ii) malezi; nomino ya dhahania
iii) wazazi; nomino ya kawaida
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:33
- Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii.
Nilimchinjia mama yangu kuku.(Solved)
Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii.
Nilimchinjia mama yangu kuku.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Andika sentensi hii kwa wingi.
Msimamo unaofaa ni wa uadilifu.(Solved)
Andika sentensi hii kwa wingi.
Msimamo unaofaa ni wa uadilifu.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Onyesha matumizi mawili ya mkwaju katika sentensi. (Solved)
Onyesha matumizi mawili ya mkwaju katika sentensi.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Ainisha viambishi katika neno lifuatalo.
Waliowachezea(Solved)
Ainisha viambishi katika neno lifuatalo.
Waliowachezea
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Bainisha maneno katika sentensi ifuatayo.
Aka! Mwalimu mrefu sana anaandika vizuri.(Solved)
Bainisha maneno katika sentensi ifuatayo.
Aka! Mwalimu mrefu sana anaandika vizuri.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Andika maneno yenye miundo ya silabi ifuatayo.
i) KKKI
ii) KKI(Solved)
Andika maneno yenye miundo ya silabi ifuatayo.
i) KKKI
ii) KKI
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Pigia mstari silabi zinazotiliwa shadda katika maneno yafuatayo.
i) Runinga
ii) Mto(Solved)
Pigia mstari silabi zinazotiliwa shadda katika maneno yafuatayo.
i) Runinga
ii) Mto
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Sauti hizi hutamkiwa wapi?
/d/
/k/(Solved)
Sauti hizi hutamkiwa wapi?
/d/
/k/
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yatakayofuata
Leo hii suala la kuwaonyesha watoto mapenzi ni suala la ziada. Kuna mambo mengine mengi
maishani mwetu ambayo tunayachukulia kuwa...(Solved)
Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yatakayofuata
Leo hii suala la kuwaonyesha watoto mapenzi ni suala la ziada. Kuna mambo mengine mengi
maishani mwetu ambayo tunayachukulia kuwa muhimu zaidi. Ni vizuri tuwaokoe watoto
wetu, tusije tukawalilia baadaye. Kuna vitendo vya ukatili ambavyo watoto hutendewa.
Hivi majuzi tumekuwa na visa vya vilenge kung’olewa mimbani viumbe hawa
walipokatiziwa uhai, maiti zao zilitupwa kama takataka. Hiyo ni miili ambayo ilipatikana je,
ni maelfu mangapi ya miili mingine kama hiyo inayotupwa? Hii tu ilikuwa tone ndogo tu la
bahari ya dhambi ambazo zote tunaogelea ndani.
Mambo kama haya ni mazao ya mimea yetu ambayo tulipanda sisi ambao hatuchelewi kujiita
watu walio huru, walio na maendeleo na wa kisasa. Tumekuwa watu wa kupuuza mambo ya
kimapokeo ya kuzingatia utu na kuficha aibu aghalabu tumejitia usasa kwa kutazama filamu
na video chafu, kusikiliza muziki wenye maneno machafu. Tunapoona watoto wetu
wakitembea nusu uchi, hatushughuliki hata kidogo kuwakanya.
Kama ni kosa, sisi sote tumehusika kwa njia moja au nyingine kwa njia tofauti. Ni vizuri
tuelewe kuwa sisi ni wakuuzaji na walizi wa ndugu zetu kwa kila njia.
Tutawaokoa watoto kwa kukataa mambo yote yanayowanyanyasa. Lazima tuwaonyeshe
watoto mapenzi, mapenzi si chakula, mavazi na makazi tu. Mapenzi si kuwaachia vijana
uhuru watende watendavyo. Mapenzi sio kuwanunulia watoto vitu vya bei ghali au kuacha
kuwakemea wanapokosa mwelekeo.
Mapenzi kwa watoto ni kuwaheshimu na kuwatendea kama binadamu yeyote. Lazima mzazi
akumbuke kwamba mtoto hujifunza kutoka kwake. Mtoto atakutendea isitoshe jinsi
unavyomtendea. Isitoshe jinsi unavyomtendea mtoto wako ndivyo atakavyowatendea watoto
wake na wale wote ambao atapata kuhusiana nao kwa njia moja au nyingine.
Tuwaokoe watoto wetu katika viwango vyote vya ukuaji. Kusiwe na mwanya baina ya mzazi
na mtoto. Watoto wawe kutuambia yote yanayowahangaisha mioyoni mwao, na hali hii
itawapa wazazi fursa ya kuwasaidia. Mtoto anapokosa, tuwe tayari kumwonyesha kosa lake
na kumwadhibu kwa mapenzi.
Mtoto wa mwenzetu akipotoka pia tuwe tayari kumkosoa na kuwaarifu wazazi wake.
Tuwache ubinafsi wetu kumbuka kuwa mwana wa mwenzio ni wako. Ni jambo la busara
kuhakikisha kuwa kama wazazi, tuzingatie haki zote za watoto.
Maswali
1. Kwa nini suala la kuwaonyesha watoto mapenzi limekuwa la ziada.
2. Ni mambo gani ambayo yanaweza kutufanya tuwalilie watoto wetu baadaye?
3. Toa sababu zinazowafanya watu kuavya mimba.
4. Ni mambo yapi ambayo yanachangia kupotoka kwa jamii?
5. Mwandishi ametumia tamathali za usemi. Zitaje huku ukitoa mifano kwa kila mojawapo.
6. Andika maana ya maneno haya kama yalivyotumiwa katika habari.
(a) Vilenge
(b) Mwanya
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Kamilisha au kuanzisha methali zifuatazo:
i. Fumbo mfumbie………………
ii. Baniani mbaya ……………
iii. …………….si kazi kudamirika
iv. ………… Sanda.(Solved)
Kamilisha au kuanzisha methali zifuatazo:
i. Fumbo mfumbie………………
ii. Baniani mbaya ……………
iii. …………….si kazi kudamirika
iv. ………… Sanda.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa tano za hadithi.(Solved)
Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza sifa tano za hadithi.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Taja vipera vinne vya fasihi simulizi.(Solved)
Taja vipera vinne vya fasihi simulizi.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Eleza dhima nne za lugha.(Solved)
Eleza dhima nne za lugha.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Taja sifa nne za lugha.(Solved)
Taja sifa nne za lugha.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Ni nini maana ya lugha?(Solved)
Ni nini maana ya lugha?
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Andika sentensi hizi katika nyakati zilizo kwenye mabano.
Wageni walisafiri kwenda ng’ambo. (ujao)
Mtoto anakula chakula. (mazoea)(Solved)
Andika sentensi hizi katika nyakati zilizo kwenye mabano.
Wageni walisafiri kwenda ng’ambo. (ujao)
Mtoto anakula chakula. (mazoea)
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Eleza maana mbili za neno paa.(Solved)
Eleza maana mbili za neno paa.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Onyesha kikundi Nomino na Kikundi Tenzi katika sentensi sifuatazo
Mwizi aliyetoroka amepatikana mjini
Mwanafunzi mwerevu amepita vizuri(Solved)
Onyesha kikundi Nomino na Kikundi Tenzi katika sentensi sifuatazo
Mwizi aliyetoroka amepatikana mjini
Mwanafunzi mwerevu amepita vizuri
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Andika kinyume cha sentensi hii.
Tajiri aliyekashifiwa amebarikiwa. (Solved)
Andika kinyume cha sentensi hii.
Tajiri aliyekashifiwa amebarikiwa.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)
- Jaza jedwali lifuatalo kwa kauli mwafaka.(Solved)
Jaza jedwali lifuatalo kwa kauli mwafaka.
Date posted: November 22, 2022. Answers (1)