Ainisha viunganishi katika sentensi zifuatazo. i) Duma hukimbia kuliko mwanadamu. ii) Una chaguo, soma ama uende nyumbani.

      

Ainisha viunganishi katika sentensi zifuatazo.
i) Duma hukimbia kuliko mwanadamu.
ii) Una chaguo, soma ama uende nyumbani.

  

Answers


Kavungya
i) kuliko; U cha kulinganisha
ii) ama; U cha uteuzi
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:36


Next: Tunga sentensi yenye kitenzi kisaidizi na kitenzi kuu.
Previous: Andika kinyume cha sentensi hii. Nyanya aliingia chumbani na akazima taa.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions