Andika kinyume cha sentensi hii. Nyanya aliingia chumbani na akazima taa.

      

Andika kinyume cha sentensi hii.
Nyanya aliingia chumbani na akazima taa.

  

Answers


Kavungya
Nyanya aliondoka chumbani na akawasha taa.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:36


Next: Ainisha viunganishi katika sentensi zifuatazo. i) Duma hukimbia kuliko mwanadamu. ii) Una chaguo, soma ama uende nyumbani.
Previous: Complete the following telephone conversationAnya: Korisai High School. How can I help you?Atyang:................. Anya: Kindly tell me what it is aboutAtyang:...............Anya: Okay, please hold on...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions