Eleza sifa tatu za sajili ya hospitali.

      

Eleza sifa tatu za sajili ya hospitali.

  

Answers


Kavungya
i. Hutumia lugha ya taifa au rasmi
ii. Msamiati maalum wa hospitalini kv majina ya dawa
iii. Maswali na majibu baina ya mgonjwa na mhudumu
iv. Kuchanganya ndimi/msimbo
v. Lugha nyepesi isipokuwa katika hali mahsusi
vi. Lugha ya huruma kwa wagonjwa
vii. Lugha ya masimulizi na maelezo kutoka kwa mgonjwa
viii. Lugha ya utohozi kv dawa na vifaa
ix. Lugha isiyo na tasfida kv kuhara
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:40


Next: Kamilisha methali; Makuukuu ya tai.......
Previous: Taja sifa mbili za lugha ya kitaifa.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions