Taja sifa mbili za lugha ya kitaifa.

      

Taja sifa mbili za lugha ya kitaifa.

  

Answers


Kavungya
i. Huweza kuteuliwa kutoka kwa lugha mojawapo ya kabila fulani.
ii. Inazungumzwa na watu wengi nchini
iii. Ina uwezo wa kuondoa hisia za kikabila na kufanya watu kuhisi kuwataifa moja.
iv. Ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya kimawasiliano.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:41


Next: Eleza sifa tatu za sajili ya hospitali.
Previous: Taja majukumu mawili ya lugha rasmi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions