Taja majukumu mawili ya lugha rasmi.

      

Taja majukumu mawili ya lugha rasmi.

  

Answers


Kavungya
i. Kuendesha shughuli za ofisi za serikali
ii. Kufundishia shuleni na vyuoni
iii. Kutumiwa katika hati zote za serikali
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 07:42


Next: Taja sifa mbili za lugha ya kitaifa.
Previous: Sanaa ni nini?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions