Andika vigezo vitatu vinavyotumiwa kuainisha irabu.

      

Andika vigezo vitatu vinavyotumiwa kuainisha irabu.

  

Answers


Kavungya
- Sehemu ya ulimi
- Mwinuko wa ulimi
- Mkao wa mdomo

Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:22


Next: Read the poem below and answer the questions that follow Mid -Term Break (Seamus Heaney)I sat all morning in the college sick bay Counting bells...
Previous: Kwa kutoa mifano mwafaka, onyesha mianzo tofauti katika ngeli ya U-ZI.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions