Kwa kutoa mifano mwafaka, onyesha mianzo tofauti katika ngeli ya U-ZI.

      

Kwa kutoa mifano mwafaka, onyesha mianzo tofauti katika ngeli ya U-ZI.

  

Answers


Kavungya
- U-Mb ubao-mbao
- U-nd udevu-ndevu
- W-nd wayo-nyayo
- U-ny ua-nyuzi
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:25


Next: Andika vigezo vitatu vinavyotumiwa kuainisha irabu.
Previous: Akifisha sentensi hii: alikufa siku ya jumapili tarehe 20 mwezi wa januari mwaka wa 2011.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions