Changanua sentensi ifuatayo ili kuonyesha viambishi awali ,mzizi na viambishi tamati. Walioangaliana

      

Changanua sentensi ifuatayo ili kuonyesha viambishi awali ,mzizi na viambishi tamati.
Walioangaliana

  

Answers


Kavungya
Wa-li-o Viambishi awali
Angali- mzizi
-an-a viambishi tamati
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:30


Next: Weka Nomino hizi katika ngeli zake. Raha Kumbikumbi
Previous: Andika kinyume cha sentensi hii. Ubane mlango kidogo na umtwike mchukuzi mzigo huu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions