Andika kinyume cha sentensi hii. Ubane mlango kidogo na umtwike mchukuzi mzigo huu.

      

Andika kinyume cha sentensi hii.
Ubane mlango kidogo na umtwike mchukuzi mzigo huu.

  

Answers


Kavungya
Ubanue mlango na umtue mchukuzi mzigo huu.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:31


Next: Changanua sentensi ifuatayo ili kuonyesha viambishi awali ,mzizi na viambishi tamati. Walioangaliana
Previous: Sahihisha sentensi hii. Mfua ulionyesha ulisababisha mafuriko.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions