Andika visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo. Kulikuwa kioja kuona marafiki wakipigana.

      

Andika visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo.
Kulikuwa kioja kuona marafiki wakipigana.

  

Answers


Kavungya
Kioja-kituko/kiroja

Marafiki-masahibu/wandani
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:38


Next: Sahihisha sentensi hii. Mfua ulionyesha ulisababisha mafuriko.
Previous: Yakinisha katika wingi sentensi ifuatayo: Mtu asiyeugua anahitaji daktari.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions