Yakinisha katika wingi sentensi ifuatayo: Mtu asiyeugua anahitaji daktari.

      

Yakinisha katika wingi sentensi ifuatayo:
Mtu asiyeugua anahitaji daktari.

  

Answers


Kavungya
Watu wanaougua wanahitaji madaktari.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:39


Next: Andika visawe vya maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo. Kulikuwa kioja kuona marafiki wakipigana.
Previous: Eleza maana mbili za sentensi ifuatayo: Mtoto anapendezwa na ziwa.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions