Andika katika ukubwa. Mwanamwali huyu alijinunulia viatu vya ngozi.

      

Andika katika ukubwa.
Mwanamwali huyu alijinunulia viatu vya ngozi.

  

Answers


Kavungya
Janajali hili lilijinunulia majiatu ya gozi /magozi
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:43


Next: Eleza maana mbili za sentensi ifuatayo: Mtoto anapendezwa na ziwa.
Previous: Andika matumizi mawili ya mshazari.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions