Andika matumizi mawili ya mshazari.

      

Andika matumizi mawili ya mshazari.

  

Answers


Kavungya
- Au/ama
- Visawe baba/abu
- Kuandika tarehe 1/7/15
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:43


Next: Andika katika ukubwa. Mwanamwali huyu alijinunulia viatu vya ngozi.
Previous: Tunga sentensi moja kudhihirisha maana ya vitate vifuatavyo: Kesi/gesi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions