Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo uliyopewa. Mbwa ambaye aliripotiwa kuwa ameibwa amepatikana katika bwawa la maji.

      

Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo uliyopewa.
Mbwa ambaye aliripotiwa kuwa ameibwa amepatikana katika bwawa la maji.
(Anza: Katika bwawa............)

  

Answers


Kavungya
Katika bwawa la maji ,amepatikana mbwa ambaye aliripotiwa kuwa ameibwa.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:46


Next: Tunga sentensi moja kudhihirisha maana ya vitate vifuatavyo: Kesi/gesi
Previous: Tumia O’rejeshi badala ya amba- Wachezaji ambao hucheza kwa bidi ndio ambao hufaulu maishani.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions