Tumia O’rejeshi badala ya amba- Wachezaji ambao hucheza kwa bidi ndio ambao hufaulu maishani.

      

Tumia O’rejeshi badala ya amba-
Wachezaji ambao hucheza kwa bidi ndio ambao hufaulu maishani.

  

Answers


Kavungya
Wachezaji wachezao kwa bidii ndio wafauluo maishani.
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:46


Next: Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo uliyopewa. Mbwa ambaye aliripotiwa kuwa ameibwa amepatikana katika bwawa la maji.
Previous: Neno ‘chungu’ lina maana –enye kutokuwa na tamu. Eleza maana zake zingine mbili.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions