Neno ‘chungu’ lina maana –enye kutokuwa na tamu. Eleza maana zake zingine mbili.

      

Neno ‘chungu’ lina maana –enye kutokuwa na tamu. Eleza maana zake zingine mbili.

  

Answers


Kavungya
- Enye kuchukiza
- Chombo cha kupikia
- Mdudu mdogo
Kavungya answered the question on November 22, 2022 at 08:48


Next: Tumia O’rejeshi badala ya amba- Wachezaji ambao hucheza kwa bidi ndio ambao hufaulu maishani.
Previous: Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali. Kibiko: Hujambo dada Cheupe? Cheupe: (Akikohoa) Sijambo ndugu Kibiko.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions