Andika sauti zenye sifa zifuatazo: (i) Nazali ya kaa laini (ii) Kikwamizo ghuna cha mdomo na meno (iii) Irabu ya nyuma wastani (iv) Kimadende

      

Andika sauti zenye sifa zifuatazo:
(i) Nazali ya kaa laini
(ii) Kikwamizo ghuna cha mdomo na meno
(iii) Irabu ya nyuma wastani
(iv) Kimadende

  

Answers


Kavungya
(i) Nazali ya kaa laini ¦ng’¦
(ii) Kikwamizo ghuna cha mdomo na meno ¦v¦
(iii) Irabu ya nyuma wastani ¦O¦
(iv) Kimadende ¦r¦
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 05:39


Next: Soma shairi ifuatayo kisha ujibu maswali CHEMA HAKIDUMU Chema hakidumu, kingapendekeza, Saa ikitimu, kitakuteleza
Previous: Bainisha aina zifuatazo za mofimu. (i) Mtu – (ii) Samaki – (iii) Anasoma –

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions