(i) Mtu – mofimu tegemezi
(ii) Samaki – mofimu huru
(iii) Anasoma – mofimu tegemezi
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 05:41
- Andika sauti zenye sifa zifuatazo:
(i) Nazali ya kaa laini
(ii) Kikwamizo ghuna cha mdomo na meno
(iii) Irabu ya nyuma wastani
(iv) Kimadende(Solved)
Andika sauti zenye sifa zifuatazo:
(i) Nazali ya kaa laini
(ii) Kikwamizo ghuna cha mdomo na meno
(iii) Irabu ya nyuma wastani
(iv) Kimadende
Date posted: November 25, 2022. Answers (1)
- Soma shairi ifuatayo kisha ujibu maswali
CHEMA HAKIDUMU
Chema hakidumu, kingapendekeza,
Saa ikitimu, kitakuteleza(Solved)
Soma shairi ifuatayo kisha ujibu maswali
CHEMA HAKIDUMU
Chema hakidumu, kingapendekeza,
Saa ikitimu, kitakuteleza
Ukawa na hamu, kukingojeleza,
Huwa ni vigumu, kamwe hutaweza
Chema sikiimbi, kwamba nakitweza
Japo mara tumbi, kinshaniliza,
Na japo siombi, kipate n’ongeza,
Mtu haniambi, pa kujikimbiza
Chema mara ngapi, kinniondoka,
Mwanangu yu wapi? Hakukaa mwaka,
Kwa muda mfupi aliwatilika,
Ningefanya lipi, ela kumzika?
Chema wangu babu, Kibwana Bashee,
Alojipa tabu, kwamba anilee
Na yakwe sababu, ni nitengenee,
Ilahi Wahhabu, mara amtwee.
Chema wangu Poni, kipenzi nyanyangu,
Hadi siku hini, yu moyoni mwangu,
Yu moyoni ndani, hadi kufa kwangu,
Ningamtamani, hatarudi kwangu.
(Abdalla, Abdilatif, Sauti ya Dhiki)
MASWALI:
(a) Hili ni shairi la aina gani?
(b) Taja na ueleleze aina zozote mbili za bahari katika shairi hili.
(c) Eleza umbo la shairi hili.
Date posted: November 25, 2022. Answers (1)
- Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.
Mhudumu: Mnakaribishwa. Menyu hii hapa.
Mtakula nini?(Solved)
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.
Mhudumu: Mnakaribishwa. Menyu hii hapa.
Mtakula nini?
Mteja 1: Naomba uniletee mix na ugali. Fanya haraka.
Mteja 2: Mhudumu,hebu leta madodo na chemsha mbili. Pia niletee maji ya machungwa.
Mhudumu: Sawa. Baada ya dakika moja utapata yote uliyoagiza.
Mteja 1: (Akila) Wewe-Please bring me drinking water. Yawe baridi tafadhali.
Mhudumu: Ndiyo haya hapa mezani. Glasi ndio hii pia,karibu.
Mteja 2: Nina haraka mzee. Wapi tooth pick?
Mhudumu: Hizo hapo ,mezani karibu na maji.
Mteja 1: (Akiita) Mhudumu,naomba uniletee ugali saucer tafadhali.
Mhudumu: Naam.
Mteja 2: (Akisimama) Nimeshiba. Hizi hapa pesa
Niletee change haraka niondoke.
MASWALI
a) Ni sajili gani inayohusishwa katika mazungumzo haya?
b) Taja sifa zozote tano za sajili hii
c) Dondoa msamiati unaotambulisha sajili hii
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Tumia herufi mwafaka kuainisha maneno katika sentensi hii.
Ingawa anataka kucheza karata,ni mlevi (Solved)
Tumia herufi mwafaka kuainisha maneno katika sentensi hii.
Ingawa anataka kucheza karata,ni mlevi
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Sahihisha:
Kwenye nilisomea ni bali.(Solved)
Sahihisha:
Kwenye nilisomea ni bali.
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Nyambua
Filisisha (tenda) (Solved)
Nyambua
Filisisha (tenda)
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Tumia kitenzi jina na kivumishi kutunga sentensi.(Solved)
Tumia kitenzi jina na kivumishi kutunga sentensi.
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Andika sentensi hii katika ukubwa.
Huyo nyoka alikatwa mkia na mvulana yule.(Solved)
Andika sentensi hii katika ukubwa.
Huyo nyoka alikatwa mkia na mvulana yule.
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Taja visawe vya maneno yafuatayo.
(i) Damu
(ii) Mjinga(Solved)
Taja visawe vya maneno yafuatayo.
(i) Damu
(ii) Mjinga
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Andika katika udogo na wingi
Njusi aliyekuwa na jicho moja alianguka mtoni.(Solved)
Andika katika udogo na wingi
Njusi aliyekuwa na jicho moja alianguka mtoni.
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Tumia kiwakifishi kifuatacho kubainisha matumizi yake katika sentensi ili kutoa maana mbili tofauti.
Ritifaa(Solved)
Tumia kiwakifishi kifuatacho kubainisha matumizi yake katika sentensi ili kutoa maana mbili tofauti.
Ritifaa
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia viwakilishi vifuatavyo.
(i) Nafsi viambata
(II) Visisitizi(Solved)
Tunga sentensi ukitumia viwakilishi vifuatavyo.
(i) Nafsi viambata
(II) Visisitizi
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Geuza neno lililopigwa mstari kuwa kiwakilishi
Mtoto mbaya aliadhibiwa(Solved)
Geuza neno lililopigwa mstari kuwa kiwakilishi
Mtoto mbaya aliadhibiwa
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Onyesha vivumishi vya sifa katika sentensi zifuatazo.
(i) Anayetaka chakula kitamu ni nani?
(ii) Kiatu kirefu kimeng’oka kikanyagio. (Solved)
Onyesha vivumishi vya sifa katika sentensi zifuatazo.
(i) Anayetaka chakula kitamu ni nani?
(ii) Kiatu kirefu kimeng’oka kikanyagio.
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Tunga sentensi mbili kuonyesha tofauti kati ya maneno haya.
(i) shuka
(ii) suka (Solved)
Tunga sentensi mbili kuonyesha tofauti kati ya maneno haya.
(i) shuka
(ii) suka
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Eleza maana ya misemo ifuatayo.
(i) kupiga domo
(ii) kupiga kijembe(Solved)
Eleza maana ya misemo ifuatayo.
(i) kupiga domo
(ii) kupiga kijembe
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Bainisha vitenzi halisi katika sentensi zifuatazo.
(i) Nyanchama hakufika mkutanoni
(ii) Horukut amerudi kutoka masoni(Solved)
Bainisha vitenzi halisi katika sentensi zifuatazo.
(i) Nyanchama hakufika mkutanoni
(ii) Horukut amerudi kutoka masoni
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Onyesha nomino za jamii katika sentensi zifuatazo
(i) Chuki baina ya jamii lazima ikomeshwe barani Afrika.
(ii) Wageni watatumbuizwa na bengi ya kayamba Afrika.(Solved)
Onyesha nomino za jamii katika sentensi zifuatazo
(i) Chuki baina ya jamii lazima ikomeshwe barani Afrika.
(ii) Wageni watatumbuizwa na bengi ya kayamba Afrika.
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Onyesha kundi nomino na kundi tenzi katika sentensi hii.
Nyayo za wanyama hao zimeonekana hapa. (Solved)
Onyesha kundi nomino na kundi tenzi katika sentensi hii.
Nyayo za wanyama hao zimeonekana hapa.
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)
- Eleza tofauti kati ya:
(i) Mofimu huru
(ii) Mofimu tegemezi (Solved)
Eleza tofauti kati ya:
(i) Mofimu huru
(ii) Mofimu tegemezi
Date posted: November 24, 2022. Answers (1)