Bainisha aina za vielezi katika sentensi hii. Mtoto alikimbia mara sita uwanjani kisha akatembea kitausi.

      

Bainisha aina za vielezi katika sentensi hii.
Mtoto alikimbia mara sita uwanjani kisha akatembea kitausi.

  

Answers


Kavungya
- Mara sita – kielezi cha idadi halisi
- Uwanjani kielezi cha mahali
- Kitausi – Kielezi cha namna mfanano
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 05:50


Next: Tunga sentensi yenye kitenzi kishirikishi kipungufu.
Previous: Tumia kiunganishi kifaacho kuunganisha sentensi hizi. Mwizi alishikwa. Mwizi alipigwa sana.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions