Tumia kiunganishi kifaacho kuunganisha sentensi hizi. Mwizi alishikwa. Mwizi alipigwa sana.

      

Tumia kiunganishi kifaacho kuunganisha sentensi hizi.
Mwizi alishikwa. Mwizi alipigwa sana.

  

Answers


Kavungya
Mwizi alishikwa na akapigwa sana.
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 05:50


Next: Bainisha aina za vielezi katika sentensi hii. Mtoto alikimbia mara sita uwanjani kisha akatembea kitausi.
Previous: Andika udogo wa: Anacheza ngoma.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions