Bainisha nomino katika utungo huu. Watoto wameenda kucheza.

      

Bainisha nomino katika utungo huu.
Watoto wameenda kucheza.

  

Answers


Kavungya
Watoto – nomino ya kawaida
Kucheza – nomino ya kitenzi.
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 06:00


Next: Taja nomino zozote mbili katika ngeli A-WA na uonyeshe miundo yake.
Previous: Soma taarifa ifuatayo kasha ujibu maswali Ilikuwa Jumamosi. Nilifika nyumbani kwangu saa moja jioni. Tangu nistaafu miaka miwili awali sikupenda kuchelewa Taarifa ya Habari.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions