Onyesha Nomino na ueleze aina katika sentensi ifuatayo: Warembo walijifukiza manukato na kuvalia mavazi ya kupendeza.

      

Onyesha Nomino na ueleze aina katika sentensi ifuatayo:
Warembo walijifukiza manukato na kuvalia mavazi ya kupendeza.

  

Answers


Kavungya
Warembo-jumla/kawaida

Manukato-wingi

Mavazi-jumla/kawaida
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 09:13


Next: Sahihisha sentensi zifuatazo. i. Hao mandugu wamekosana juu ya pesa. ii. Mtu mwenye anakula mkate ametumana aletewe chai.
Previous: Tunga sentensi uliyopewa upya bila matumizi ya ‘amba’ Ndoo ambayo ilinunuliwa ilivunjwa jana.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions