Tunga sentensi uliyopewa upya bila matumizi ya ‘amba’ Ndoo ambayo ilinunuliwa ilivunjwa jana.

      

Tunga sentensi uliyopewa upya bila matumizi ya ‘amba’
Ndoo ambayo ilinunuliwa ilivunjwa jana.

  

Answers


Kavungya
Ndoo iliyonunuliwa ilivunjwa jana.
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 09:15


Next: Onyesha Nomino na ueleze aina katika sentensi ifuatayo: Warembo walijifukiza manukato na kuvalia mavazi ya kupendeza.
Previous: Andika maana mbili za sentensi ifuatayo. Wanafunzi walipigia wazazi wao simu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions