Andika maana mbili za sentensi ifuatayo. Wanafunzi walipigia wazazi wao simu.

      

Andika maana mbili za sentensi ifuatayo.
Wanafunzi walipigia wazazi wao simu.

  

Answers


Kavungya
-Waliwasiliana kwa simu
-Waliwasiliana kwa niaba ya
-Waliwapiga kwa sababu ya simu
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 09:17


Next: Tunga sentensi uliyopewa upya bila matumizi ya ‘amba’ Ndoo ambayo ilinunuliwa ilivunjwa jana.
Previous: Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo. i. Ningeenda leo ningefika mapema. ii. Ningalienda ningalifika mapema.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions