Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo. i. Ningeenda leo ningefika mapema. ii. Ningalienda ningalifika mapema.

      

Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo.
i. Ningeenda leo ningefika mapema.
ii. Ningalienda ningalifika mapema.

  

Answers


Kavungya
Kulikuwa na uwezekano

Hakuna uwezekano
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 09:19


Next: Andika maana mbili za sentensi ifuatayo. Wanafunzi walipigia wazazi wao simu.
Previous: Tunga sentensi mbili ukitumia mzizi uliopewa ili kuonyesha mwingiliano wa maneno katika mabano. -baya (kivumishi kuwa kiwakilishi)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions