Tunga sentensi mbili ukitumia mzizi uliopewa ili kuonyesha mwingiliano wa maneno katika mabano. -baya (kivumishi kuwa kiwakilishi)

      

Tunga sentensi mbili ukitumia mzizi uliopewa ili kuonyesha mwingiliano wa maneno katika mabano.
-baya (kivumishi kuwa kiwakilishi)

  

Answers


Kavungya
Baya-kivumishi mtoto mbaya ametoroka

mbaya ametoroka-kiwakilishi
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 09:21


Next: Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo. i. Ningeenda leo ningefika mapema. ii. Ningalienda ningalifika mapema.
Previous: Nomino zifuatazo ziko katika ngeli gani? i. Nyasi ii. Furaha

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions