Nomino zifuatazo ziko katika ngeli gani? i. Nyasi ii. Furaha

      

Nomino zifuatazo ziko katika ngeli gani?
i. Nyasi
ii. Furaha

  

Answers


Kavungya
i. U-zi

ii. i-i
Kavungya answered the question on November 25, 2022 at 09:23


Next: Tunga sentensi mbili ukitumia mzizi uliopewa ili kuonyesha mwingiliano wa maneno katika mabano. -baya (kivumishi kuwa kiwakilishi)
Previous: Toa maana mbili ya sentensi ifuatayo: Laleni!

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions