Soma makala haya kisha ujibu maswali. Kwani mnauza salamu? Sina time ya kuwaste hapa. Am a busy person leta order yako haraka... Nimesema samaki wa kupaka. Mimi...

      

Soma makala haya kisha ujibu maswali.
Kwani mnauza salamu? Sina time ya kuwaste hapa. Am a busy person leta order yako haraka...
Nimesema samaki wa kupaka. Mimi ng’ombe na chicken.
a. Tambua sajili hii.
b. Fafanua sifa tisa za sajili hii.

  

Answers


Kavungya
a. sajili mkahawani/ hotelini.

b.
- Msamiati maalum – order, ngombe, kuku wakupaka.
- lugha ya ucheshi na utani.
- Kuchanganya ndimi.
- Kuhamishandimi.
- Lugha isiyo sanifu.
- Lugha ya mkato.
- Kuamrisha.
- Kauli fupi fupi.
- Lugha ya heshima inayotumiwa na mhudumu.
- Matumizi ya tarakimu.
- Majibizano.
Kavungya answered the question on November 26, 2022 at 08:06


Next: Kanusha: Asha aliwapelekea wageni chakula na akawanavya mikono.
Previous: Nilitazama jua likichwa Matumaini yangu yakizama pamoja Na miale miekundu Nilidhani lilikuwa jinamizi tu Kwamba ulikuwa kesha n’acha

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions