Ni mambo gani yanayobainika wazi, yanayoelezea ushairi umekuwa sanaa ya umma katika kipindi cha sasa?

      

Ni mambo gani yanayobainika wazi, yanayoelezea ushairi umekuwa sanaa ya umma katika kipindi cha sasa?

  

Answers


Francis
- Mashairi huru ni mengi
- Mashairi yanahusisha drama/maigizo
- Ushairi wa vijana unaosaili yaliyopo katika jamii
- Ushairi umebadilika kuendana na hadhira, hivyo basi unachanganywa na ngoma
- Ushairi umeendelea katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA)
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 12:29


Next: Utanzu wa ushairi umepitia matapo/vipindi vinne katika kukua na kusambaa kwake. Eleza vipindi kama vinavyoelezewa na Kitula King’ei na Amata Kemoli, katika Diwani yao ‘Taaluma...
Previous: Eleza dhana ya ushairi.

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions