Taja sifa za ushairi

      

Taja sifa za ushairi

  

Answers


Francis
- Hutumia lugha teule na ya mkato.
- Hutumia tamathali tofauti tofauti za usemi.
- Sio lazima ufuate kaida za kisarufi.
- Lugha iliyotumiwa huweza kuibua hisia, yaani hugusa moyo wa anayesoma.
- Huwa na mpangilio maalum kuanzia kwa vina, mizani, mishororo na beti.
- Huweza kukaririwa ama kuimbwa.
- Huelezea mambo yanayohusiana na imani za watu katika jamii.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 12:38


Next: Eleza dhana ya ushairi.
Previous: Eleza umuhimu wa ushairi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions