- Kukuza usanii wa lugha.
- Kuelimisha jamii kuhusiana na masuala fulani.
- Kuburudisha wasomaji.
-Kuhifadhi kumbukumbu za matukio muhimu katika jamii.
- Kukuza utamaduni.
- Kuhamasisha na kuzindua watu mfano kuhusu kazi.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 12:40