- Wanafunzi wengi wana mtazamo hasi kuwa ushairi ni dhana ngumu.
- Kuna baadhi ya walimu ambao pia wana mtazamo hasi kuhusu ushairi.
- Walimu kutojiandaa vyema katika somo hili.
- Upungufu wa vitabu teule vya ushairi katika shule zetu.
- Walimu kutowapa wanafunzi wao mazoezi ya kutosha ya ushairi.
- Walimu kutotambua mashairi yanayoendana na viwango vya wanafunzi, kilugha na kimaudhui.
- Istilahi zinazotumiwa katika ushairi ni nyingi sana.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 12:42