Taja mbinu za kutatua changamoto za ufundishaji na usomaji wa ushairi

      

Taja mbinu za kutatua changamoto za ufundishaji na usomaji wa ushairi

  

Answers


Francis
- Wanafunzi na baadhi ya walimu wabadilishe mtazamo wao kuhusu ushairi na waichukulie kama masomo mengine
- Ufundishaji wa ushairi ulioratibiwa.
- Kutoa ufafanuzi sahili kuhusu dhana ya ushairi na sifa zake.
- Mashairi mepesi na ya kuwavutia wanafunzi yateuliwe.
- Usomaji wa ushairi mara kwa mara ili kupevusha viwango.
- Wanafunzi washiriki utunzi wa mashairi mepesi.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 12:45


Next: Utafiti unaonyesha kuwa kuna changamoto nyingi katika ufundishaji na usomaji wa ushairi. Changamoto hizi huenda ikawa ndizo huchangia kudorora kwa matokeo ya wanafunzi katika somo...
Previous: Eleza maana ya mizani

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions