Eleza maana ya mizani

      

Eleza maana ya mizani

  

Answers


Francis
Ni idadi ya silabi au sauti zinazotamkika katika kila mshororo wa ubeti. Mashairi mengi ya arudhi aghalabu huwa na mizani 16 ingawaje huwa siyo lazima. Rejelea mifano inayofuata inayoonyesha mizani katika mshororo.

Ku ru ki a si ku zu ri, ma ne no mu si ru ki e, (mizani 16)
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16
Mu ta ku ja zu sha sha ri, ma ko nde mu ya bu gi e, (mizani 16)
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 12:52


Next: Taja mbinu za kutatua changamoto za ufundishaji na usomaji wa ushairi
Previous: Eleza maana ya vina

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions