Eleza maana ya vina

      

Eleza maana ya vina

  

Answers


Francis
ni silabi za mwisho wa kila kipande cha mshororo. Huainishwa kama vina vya ndani/kati ama vina vya nje/mwisho. Vina huweza kufanana ama kutofautiana. Iwapo shairi lina vipande ziadi ya viwili, vina huainishwa kutegemea vipande kwa mfano vina vya ukwapi, vina vya utao, vina vya mwandamizi na vina vya ukingo.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 12:53


Next: Eleza maana ya mizani
Previous: Taja umuhimu wa vina katika ushairi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions