Eleza maana ya kipande (vipande) katika shairi

      

Eleza maana ya kipande (vipande) katika shairi

  

Answers


Francis
ni kijisehemu katika mshororo. Mshororo huweza kuwa na kipande kimoja, vipande viwili, vitatu au hata vinne.

francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:00


Next: Kurukia si kuzuri, maneno musirukie, Mutakuja zusha shari, makonde muyabugie, Mukimbie kwa ghururi, kama kuku mukimbie, Maneno musirukie, wasemapo majabari. Wasemapo majabari, maneno musirukie, Hasa walio jeuri, kamwe musikurubie, Ndondi zitawaaziri,...
Previous: Taja vipande tofauti katika mshororo wa shairi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions