Taja vipande tofauti katika mshororo wa shairi

      

Taja vipande tofauti katika mshororo wa shairi

  

Answers


Francis
Ukwapi – ni kipande cha kwanza katika mshororo.
Utao – ni kipande cha pili katika mshororo.
Mwandamizi – ni kipande cha tatu katika mshororo.
Ukingo – ni kipande cha nne katika mshororo
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:01


Next: Eleza maana ya kipande (vipande) katika shairi
Previous: Ni nini maana ya mshororo mishororo

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions