Ni nini maana ya mshororo mishororo

      

Ni nini maana ya mshororo mishororo

  

Answers


Francis
Ni mstari au sentensi moja katika ubeti. Mistari hii inapowekwa pamoja hujumlisha ubeti. Ni kigezo hiki ambacho hutumika kuainisha aina za mashairi.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:03


Next: Taja vipande tofauti katika mshororo wa shairi
Previous: Eleza aina tofauti za mishororo katika ubeti

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions