Eleza maana na umuhimu wa kibwagizo.

      

Eleza maana na umuhimu wa kibwagizo.

  

Answers


Francis
Kibwagizo/kiitikio/mkarara/kipokeo – Aghalabu huwa ni mshororo wa mwisho katika ubeti ambao umerudiwarudiwa katika beti zote.

Umuhimu wa kibwagizo
- Huwa ni kiini cha shairi yaani hubeba maudhui.
- Kupitia kwa kibwagizo tunaweza kupata kichwa cha shairi iwapo hakikutajwa.
- Husisitiza ujumbe wa shairi.
- Huonyesha mwisho wa ubeti.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:25


Next: Eleza aina tofauti za mishororo katika ubeti
Previous: Eleza maana ya kiishio/kimalizio

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions