Eleza maana ya ubeti (beti)

      

Eleza maana ya ubeti (beti)

  

Answers


Francis
Ubeti (beti) ni jumla ya mishororo iliyowekwa pamoja na ambayo hujitosheleza kimaana na hubeba hoja ama ujumbe na hubainishwa na kuwepo ama kutokuwepo kwa kanuni kuu za utunzi wa tungo.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:33


Next: Eleza maana ya kiishio/kimalizio
Previous: Eleza maana ya utoshelezo katika ushairi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions