Eleza maana ya utoshelezo katika ushairi

      

Eleza maana ya utoshelezo katika ushairi

  

Answers


Francis
Hii ni ile hali ya mtunzi kuandika ujumbe ambao unaeleweka kinagaubaga na ambao unaweza kujisimamia kivyake katika kila ubeti wa shairi. Yaani kila ubeti hutoa taarifa yake kikamilifu pasi na kutegemea ubeti mwingine kukamilisha ujumbe uliokusudiwa.
francis1897 answered the question on January 30, 2023 at 13:35


Next: Eleza maana ya ubeti (beti)
Previous: Eleza maana ya arudhi

View More Ushairi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions